Dira na Dhamira
Dira na Dhamira
DIRA
Kuwezesha biashara na uendelezaji wa mifumo ya chakula ya Tanzania ili kuchochea ukuaji, ustahimilivu na kuhakikisha usalama wa chakula kwa wananchi wote.
DHAMIRA
Kuwezesha uzalishaji, uchakataji na huduma za masoko kwa ufanisi na tija ili kukuza ukuaji, ushindani na ubunifu katika sekta ya nafaka na mazao mengine, sambamba na kuimarisha usalama wa chakula na kuongeza thamani kwa wateja.
NGUZO KUU ZA MAADILI
-
Ushirikiano
-
Uhalisia/Ukamilifu wa Taarifa (Objectivity)
-
Ustahimilivu
-
Ubora
-
Usawa
-
Uadilifu
-
Ubunifu