Kikao cha Kupitia na Kuboresha Rasimu ya Kanuni za Copra – Morogoro, Novemba 2024
Kikao cha Kupitia na Kuboresha Rasimu ya Kanuni za Copra – Morogoro, Novemba 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), kwa kushirikiana na ASPIRES kupitia mradi wa Feed the Future Tanzania Kilimo Tija (KTA) na Wizara ya Kilimo kupitia Mradi wa Kuwezesha Upatikanaji wa Pembejeo za Kilimo Tanzania (TAISP), wakiwa Morogoro kwa ajili ya kupitia na kuboresha rasimu ya kanuni za Utekelezaji wa Sheria ya Usalama wa Chakula Sura 249 na marekebisho yaliyofanywa kupitia sheria ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Sura 274 - Novemba 2024
Lengo la hatua hii ni kuhakikisha ushirikishwaji wa wadau wote na kuhakikisha kanuni zinaendana na mahitaji ya sasa katika sekta ya kilimo.
#ShirikishaBoreshaEndeleza #COPRA